-->

Kiswahili Cultural Day

It is our custom as Busybee family to conduct kiswahili cultural day every year.

Ni desturi yetu kama shule kukitukuza kiswahili na kujivunia na kusheherekea utamaduni wetu. Hafla ya siku ya Kiswahili ya kila mwaka ilifanyika shuleni Busy Bee tarehe  23 Juni 2016. Wanafunzi wote pamoja na jamii nzima ya Busy Bee ilisherekea tumbuizo mbalimbali kama vile uanamitindo, mashairi, nyimbo,na pia michezo ya kuigiza.  Ni hafla iliyojawa na furaha tele kwani kila mmoja wetu aliongea kiswahili sanifu na kimavazi kila mmoja alivalia mavazi ya kiafrika ili kujivunia utamaduni wetu.

Get In Touch

TUDOR SCHOOL ADDRESS

Tudor Opp Technical University of Mombasa

Tel: 0700509595 Email: info@pcas.co.ke 

 NYALI SCHOOL ADDRESS

Oleander Drive Off Moyne Drive

Tel: 0726386226 Email:info.nyali@pcas.co.ke

NYALI SCHOOL ADDRESS

Chui Road

Tel:072755 15 47 Email:info.chui@pcas.co.ke

 

Parents Say About Us

Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…